Maisha ndio yanayotokea ukiwa busy kufanya mipango mingine.
Jifunze kila wakati, jaribu na ufanye makosa, watu wanaweza kukucheka na kukukatisha tamaa lakini usiwazingatie, kwa sababu wazo lolote ulilonalo akilini mwako litafanikiwa ukilifanya kwa upendo.
Maisha ndio yanayotokea ukiwa busy kufanya mipango mingine.
Watafutaji wengi tumekuwa na hofu ya kufanya kitu kwa dunia ya sasa Hofu ndo mwanzo wa kijikatisha tamaa binafsi kabla ya kuanza hilo jambo lako tujitoe hofu kwanza tujiamini,tujithamini ndipo tuanza kufanya vitu kama biashara,uundaji wa kifaa chochte,umeme hapo hofu haitachukuwa nafasi na utafanya na kufanikiwa daima
Umbali kati ya ndoto yako na ukweli unaitwa HATUA
Maisha ni vile unavyo ishi hata Kama hufanikiwi jipe moyo usikate tamaa. 💴 💴
1
Ni kweli kabisa.